\p \v=6 \v~=Kisha akamwita Solomoni mwanawe akamwagiza kujenga nyumba kwa ajili ya \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli. \¬v