\v=31 \v~=na wakati wowote sadaka za kuteketezwa zilipotolewa kwa \nd Bwana\nd* siku za Sabato na kwenye sikukuu za Mwezi Mwandamo na katika sikukuu nyingine zilizoamriwa. Iliwapasa kuhudumu mbele za \nd Bwana\nd* mara kwa mara kwa idadi maalum na kwa namna waliyokuwa wamepewa maelekezo. \¬v \¬p