\b \p \v=19 \v~=Huu ulikuwa ndio utaratibu wao uliokubalika wa kuhudumu walipoingia katika Hekalu la \nd Bwana\nd* kulingana na masharti waliyoelekezwa na Aroni baba yao, kama \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli, alivyokuwa amemwamuru. \¬v \¬p