\p \v=12 \v~=Hii migawanyo ya mabawabu, kupitia wakuu wao, walikuwa na zamu za kuhudumu hekaluni mwa \nd Bwana\nd* kama jamaa zao walivyokuwa nazo. \¬v