\p \v=14 \v~=Kura ya Lango la Mashariki ilimwangukia Shelemia.\f + \fr 26:14 \ft Shelemia jina lingine ni Meshelemia.\f* Kisha wakapiga kura kwa Zekaria mwanawe, aliyekuwa mshauri mwenye hekima, nayo kura ya Lango la Kaskazini ikamwangukia. \¬v