\b \p \v=23 \v~=Daudi hakuwahesabu watu waliokuwa chini ya miaka ishirini, kwa sababu \nd Bwana\nd* alikuwa ameahidi kuwafanya Israeli kuwa wengi kama nyota za angani. \¬v