\p \v=26 \v~=Ezri mwana wa Kelubu alikuwa msimamizi wa wafanyakazi waliolima katika mashamba. \¬v \¬p