\v=13 \v~=Mfalme pia akampa Solomoni maelekezo kwa ajili ya migawanyo ya huduma za makuhani na Walawi, pia kwa ajili ya kazi zote za huduma katika Hekalu la \nd Bwana\nd*. Akampa pia maelezo kuhusu vifaa vyote vya kutumika katika huduma ya Hekalu. \¬v