\v=5 \v~=Miongoni mwa wanangu wote, naye \nd Bwana\nd* amenipa wengi, amemchagua Solomoni mwanangu ili kukikalia kiti cha enzi cha ufalme wa \nd Bwana\nd* juu ya Israeli. \¬v