\p \v=8 \v~=“Hivyo basi ninawaagiza mbele za Israeli yote na kusanyiko hili la \nd Bwana\nd* naye Mungu wetu akiwa anasikia: Kuweni na bidii kuzifuata amri za \nd Bwana\nd* Mungu wenu, ili mpate kumiliki nchi hii nzuri na kuwaachia wana wenu kuwa urithi milele. \¬v \¬p