\p \v=20 \v~=Ndipo Daudi akaliambia kusanyiko lote, “Mhimidini \nd Bwana\nd* Mungu wenu.” Hivyo wote wakamhimidi \nd Bwana\nd*, Mungu wa baba zao. Wakasujudu na kuanguka kifudifudi mbele za \nd Bwana\nd* na mfalme. \¬v \¬p