\v=23 \v~=Solomoni akaketi kwenye kiti cha enzi cha \nd Bwana\nd* kuwa mfalme mahali pa Daudi baba yake. Akafanikiwa sana na Israeli wote wakamtii. \¬v