\p \v=7 \v~=Wakatoa kwa ajili ya kazi ya Hekalu la Mungu talanta 5,000\f + \fr 29:7 \ft Talanta 5,000 za dhahabu ni sawa na tani 190.\f* na darkoni 10,000\f + \fr 29:7 \ft Darkoni 10,000 za dhahabu ni sawa na kilo 84.\f* za dhahabu, talanta 10,000\f + \fr 29:7 \ft Talanta 10,000 za fedha ni sawa na tani 375.\f* za fedha, talanta 18,000\f + \fr 29:7 \ft Talanta 18,000 za shaba ni sawa na tani 675.\f* za shaba na talanta 100,000\f + \fr 29:7 \ft Talanta 100,000 za chuma ni sawa na tani 3,750.\f* za chuma. \¬v