\v=22 \v~=Segubu akamzaa Yairi, ambaye alitawala miji ishirini na mitatu katika Gileadi. \¬v