\v=32 \v~=Walihudumu kwa kuimba mbele ya Maskani, Hema la Kukutania, mpaka hapo Mfalme Solomoni alipojenga Hekalu la \nd Bwana\nd* huko Yerusalemu. Walitimiza wajibu wao kulingana na taratibu walizokuwa wamewekewa. \¬v \¬p