\v=22 \v~=Baba yao Efraimu akawaombolezea kwa siku nyingi, na jamaa zake wakaja kumfariji. \¬v