\v=2 \v~=Basi watu wa kwanza kurudi kukaa kwenye milki zao katika miji yao walikuwa baadhi ya Waisraeli, makuhani, Walawi na watumishi wa Hekalu.\f + \fr 9:2 \ft Yaani \fqa Wanethini.\f* \¬v \¬p