\li1 \v=39 \v~=Neri akamzaa Kishi, Kishi akamzaa Sauli. Sauli akamzaa Yonathani, Malki-Shua, Abinadabu na Esh-Baali.\f + \fr 9:39 \ft Anajulikana pia kwa jina la Ish-Boshethi, maana yake Mtu wa Aibu (\+xt 2Sam 2:8\+xt*).\f* \¬v \¬li1