\p \v=18 \v~=Mfalme Rehoboamu akamtuma Adoniramu\f + \fr 10:18 \ft Kiebrania ni Hadoramu.\f* aliyekuwa msimamizi wa wale waliofanya kazi ngumu kwa kulazimishwa, lakini Israeli wote wakampiga kwa mawe hadi akafa. Hata hivyo, Mfalme Rehoboamu, akafanikiwa kuingia kwenye gari lake na kutorokea Yerusalemu. \¬v