\v=4 \v~=‘Hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd*: Msipande kupigana dhidi ya ndugu zenu. Nendeni nyumbani, kila mmoja wenu, kwa kuwa hili nimelitenda mimi.’ ” Kwa hiyo wakalitii neno la \nd Bwana\nd* na wakaacha kwenda kupigana dhidi ya Yeroboamu. \¬v \¬p