\v=11 \v~=Kila wakati mfalme alipokwenda katika Hekalu la \nd Bwana\nd* walinzi walikwenda pamoja naye wakiwa wamebeba hizo ngao na baadaye walizirudisha kwenye chumba cha ulinzi. \¬v \¬p