\v=2 \v~=Kwa sababu hawakuwa waaminifu kwa \nd Bwana\nd*, Shishaki mfalme wa Misri akashambulia Yerusalemu katika mwaka wa tano wa utawala wa Mfalme Rehoboamu. \¬v