\v=3 \v~=Akiwa na magari ya vita 1,200 na wapanda farasi 60,000 na idadi isiyohesabika ya majeshi ya Walibia, Wasukii na Wakushi\f + \fr 12:3 \ft Yaani watu kutoka sehemu ya Naili ya juu.\f* yaliyokuja pamoja naye kutoka Misri. \¬v