\p \v=7 \v~=\nd Bwana\nd* Mungu alipoona kwamba wamejinyenyekeza, neno hili la \nd Bwana\nd* likamjia Shemaya: “Maadamu wamejinyenyekeza, sitawaangamiza bali hivi karibuni nitawapatia wokovu. Ghadhabu yangu haitamwagwa juu ya Yerusalemu kwa kupitia Shishaki. \¬v