\p \v=9 \v~=Shishaki mfalme wa Misri alipoishambulia Yerusalemu, alichukua hazina za Hekalu la \nd Bwana\nd* na hazina za jumba la kifalme. Akachukua kila kitu, pamoja na zile ngao za dhahabu ambazo Solomoni alikuwa amezitengeneza. \¬v