\p \v=10 \v~=“Lakini kwetu sisi, \nd Bwana\nd* ndiye Mungu wetu, wala hatujamwacha. Makuhani wanaomtumikia \nd Bwana\nd* ni wana wa Aroni, nao Walawi wakiwasaidia. \¬v