\v=12 \v~=Mungu yu pamoja nasi, yeye ndiye kiongozi wetu. Makuhani wake wakiwa na tarumbeta zao watapiga baragumu ya vita dhidi yenu. Watu wa Israeli, msipigane dhidi ya \nd Bwana\nd*, Mungu wa baba zenu, kwa maana hamtashinda.” \¬v \¬p