\v=14 \v~=Basi Yuda wakageuka na kuona kwamba wanashambuliwa mbele na nyuma. Ndipo wakamlilia \nd Bwana\nd*. Makuhani wakapiga tarumbeta zao, \¬v