\v=16 \v~=Waisraeli wakakimbia mbele ya Yuda, naye Mungu akawatia Israeli mikononi mwao. \¬v