\v=5 \v~=Hamfahamu kwamba \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli, alimpa Daudi na wazao wake ufalme juu ya Israeli milele kwa Agano la chumvi? \¬v