\p \v=8 \v~=“Hata sasa unapanga kupingana na ufalme wa \nd Bwana\nd* ambao uko mikononi mwa wazao wa Daudi. Kweli ninyi ni jeshi kubwa nanyi mnazo ndama za dhahabu Yeroboamu alizozitengeneza kuwa miungu yenu. \¬v