\p \v=11 \v~=Kisha Asa akamlilia \nd Bwana\nd* Mungu wake na kusema, “Ee \nd Bwana\nd*, hakuna yeyote aliye kama wewe wa kuwasaidia wasio na nguvu dhidi ya wenye nguvu. Utusaidie, Ee \nd Bwana\nd*, wewe ndiwe Mungu wetu, kwa kuwa tunakutumainia wewe, nasi kwa jina lako tumekuja dhidi ya jeshi hili kubwa. Ee \nd Bwana\nd*, wewe ndiwe Mungu wetu, usiwaache wanadamu wakushinde wewe.” \¬v \¬p