\v=13 \v~=naye Asa na jeshi lake wakawafuatia mpaka Gerari. Idadi kubwa ya Wakushi ilianguka hata wasiweze kuinuka tena, wakapondapondwa mbele za \nd Bwana\nd* na majeshi yake. \¬v