\v=6 \v~=Akajenga miji yenye ngome katika Yuda, wakati nchi ikiwa na amani. Hakuna mtu yeyote aliyepigana vita naye katika miaka hiyo, kwa kuwa \nd Bwana\nd* alimstarehesha. \¬v \¬p