\v=11 \v~=Wakati huo wakamtolea \nd Bwana\nd* dhabihu za ngʼombe 700, kondoo na mbuzi 7,000 kutoka zile nyara walizoteka. \¬v