\v=15 \v~=Yuda wote wakafurahia kile kiapo kwa sababu walikuwa wameapa kwa moyo wao wote. Wakamtafuta Mungu kwa bidii, naye akaonekana kwao. Kwa hiyo \nd Bwana\nd* akawastarehesha pande zote. \¬v \¬p