\v=4 \v~=Lakini katika taabu yao walimrudia \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli na kumtafuta, naye akaonekana kwao. \¬v