\p \v=9 \v~=Kisha akakutanisha Yuda wote, Benyamini na watu kutoka Efraimu, watu wa Manase na Simeoni waliokuwa wanaishi miongoni mwao, kwa maana idadi kubwa walikuwa wamemjia kutoka Israeli walipoona kwamba \nd Bwana\nd* Mungu wake alikuwa pamoja naye. \¬v \¬p