\p \v=2 \v~=Ndipo Asa akachukua fedha na dhahabu kutoka hazina ya Hekalu la \nd Bwana\nd* na kutoka jumba lake mwenyewe la kifalme na kumpelekea Ben-Hadadi mfalme wa Aramu, ambaye alikuwa anatawala huko Dameski. \¬v