\p \v=7 \v~=Ikawa wakati huo mwonaji Hanani akamjia Mfalme Asa wa Yuda na kumwambia: “Kwa sababu ulimtegemea mfalme wa Aramu nawe hukumtegemea \nd Bwana\nd* Mungu wako, jeshi la mfalme wa Aramu limeponyoka mkononi mwako. \¬v