\v=8 \v~=Je, hukumbuki lililotendeka kwa Wakushi na Walibia, hawakuwa jeshi lenye nguvu na magari mengi ya vita na wapanda farasi? Hata hivyo, ulipomtegemea \nd Bwana\nd* yeye aliwatia mkononi mwako. \¬v