\p \v=10 \v~=Hofu ya \nd Bwana\nd* ikawa juu ya falme zote za nchi zilizozunguka Yuda, hivyo hawakufanya vita na Yehoshafati. \¬v