\v=5 \v~=Kwa hiyo \nd Bwana\nd* akauimarisha ufalme chini ya uongozi wake, nao Yuda wote wakamletea Yehoshafati zawadi, hivyo akawa na utajiri mwingi na heshima. \¬v