\p \v=11 \v~=Manabii wengine wote walikuwa wanatabiri kitu hicho hicho, wakisema, “Ishambulie Ramoth-Gileadi na uwe mshindi. Kwa kuwa \nd Bwana\nd* ataitia mkononi mwa mfalme.” \¬v \¬p