\p \v=18 \v~=Mikaya akaendelea, “Kwa hiyo lisikie neno la \nd Bwana\nd*: Nilimwona \nd Bwana\nd* ameketi juu ya kiti chake cha enzi pamoja na jeshi lote la mbinguni likiwa limesimama upande wa kulia na wa kushoto. \¬v