\p \v=23 \v~=Kisha Sedekia mwana wa Kenaana akatoka na kumpiga Mikaya kofi usoni. Akauliza, “Huyo Roho kutoka kwa \nd Bwana\nd* alipita njia gani alipotoka kwangu ili kusema nawe?” \¬v \¬p