\p \v=27 \v~=Mikaya akasema, “Kama utarudi salama, basi \nd Bwana\nd* hajanena kupitia kwangu.” Kisha akaongeza kusema, “Zingatieni maneno yangu, enyi watu wote!” \¬v \¬p