\v=2 \v~=Yehu mwonaji, mwana wa Hanani, akapanda kwenda kuonana naye akamwambia Mfalme Yehoshafati, “Je, utawasaidia waovu na kuwapenda wale wanaomchukia \nd Bwana\nd*? Kwa sababu ya jambo hili, ghadhabu ya \nd Bwana\nd* iko juu yako. \¬v