\v=6 \v~=Akawaambia, “Angalieni kwa makini yale mtendayo, kwa kuwa hamkuhukumu kwa ajili ya mwanadamu bali kwa ajili ya \nd Bwana\nd* ambaye yu pamoja nanyi kila mtoapo hukumu. \¬v