\p \v=8 \v~=Pia huko Yerusalemu, Yehoshafati akaweka baadhi ya Walawi, makuhani na viongozi wa jamaa za Waisraeli ili kutoa hukumu kwa ajili ya \nd Bwana\nd* na kuamua magomvi. Nao waliishi huko Yerusalemu. \¬v